Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 24, 2013

MAFURIKO TENA DAR LEO ENEO LA JANGWANI KAMA KAWA



  Licha ya wakazi wa mabondeni kutahadharishwa waondoke na serikali kuhama lakini baadhiya wakazi walikaidi amri hiyo amri hiyo kupingwa leo imeonyesha amri hiyo ya serikali ya kutaka  wakazi hao wahame imedhihirisha kwa mafuriko mafuriko hayo kuvumia kama kawa picha inawaonyesha wakazi wa Jangwani jijini Dar es Salaam wakiwa nje ya Nyumba zao baada ya kutokea mafuriko kutokana na mvua iliyonyesha leo
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji eneo la Kinondoni Dar es Salaam kufuatia Mvua iliyonyesha leo jijini


 Wasamaria wema wakisukuma gari la polisi lenye namba PT 0314 baada ya kuzimika barabarani kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo ya katikati ya jijini Dar es Salaam 
Wakazi wa Tabata Kisiwani wakivuka mkondo wa maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam leo na kusababisha mafuriko. 
 Mtaa wa Azikiwe ukiwa umefurika maji ya mvua.

No comments:

Post a Comment