Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bila,
akiwa meza kuu na viongozi wengine walihudhuria ufunguzi wa mkutano Mkuu
wa pili wa mwaka wa PSPF.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa
Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika leo
Machi 7, 2013 katika Ukumbi wa Jengo Golden Jubilee Towers, jijini Dar
es Salaam.
Sehemu ya Wadau wa mkutano huo waliokuwapo ukumbini humo, wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Sehemu ya Wadau wa mkutano huo waliokuwapo ukumbini humo, wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Kitambulisho, Faridi Ibrahim Kiringi, mfanyabiashara wa duka
la Nguo, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa
hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa
mkuatano huo, uliofanyika leo Machi 7, 2013, katika Ukumbi wa jengo la
Golden Jubilee Towers. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Kitambulisho, Winfrey Ibrahim Banda, Mwalimu wa Shule ya
Msingi, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari,
ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa
mkuatano huo, uliofanyika leo Machi 7, 2013, katika Ukumbi wa jengo la
Golden Jubilee Towers. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Mzee
Kssim Mapili, akishambulia jukwaa na wanamuziki wa bendi ya Mrisho Mpoto
'Mjomba Band' wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, ikiwa ni sehemu ya
kutoa burudani.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Hati na Nyumba na funguo, Adorat Francis Milinga, mmoja kati
ya watu watano walionunua nyumba za PSPF, ambaye ni mmoja kati ya
wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua
mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, uliofanyika leo Machi
7, 2013, katika Ukumbi wa jengo la Golden Jubilee Towers. Kushoto ni
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Mzee wa Ndolelaga, akishambulia jukwaa wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo.
Msanii,
Mrisho Mpoto, akitoa burudani mbele ya jukwaa kuu, wakati wa ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa
Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika leo Machi 7, 2013 katika Ukumbi wa
Jengo Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi na watumishi wa mfuko
huo, baada ya kufungua rasmi mkutano Mkuu wa pili wa mwaka wa Wadau wa
PSPF, leo.
No comments:
Post a Comment