1.Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano waJamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
- Tarehe 8 Februari, 2013 kule Addis Ababa, Ethiopia,Rais Kikwete alisaini
Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya
Kongo na jirani zake ili usaidia kurejesha amani Kongo.
2.Uhusiano wa Waislamu na Wakristo
Serikali haitasita kuwachukulia hatua wale wote wanaochochea chuki za kidini, wanaodharau vitabu vitakatifu vya dini nyingine na wanaokejeli dini nyingine.
-Rais Kikwete amewataka wananchi washiriki kikamilifu katika utoaji wa maoni kwa tume itakayoundwa kuchunguza ubovu wa matokeo hayo
2.Uhusiano wa Waislamu na Wakristo
Serikali haitasita kuwachukulia hatua wale wote wanaochochea chuki za kidini, wanaodharau vitabu vitakatifu vya dini nyingine na wanaokejeli dini nyingine.
Rais amewakumbusha Polisi na mamlaka husika kote nchini wasifanye ajizi kwenye matukio ya namna hiyo.
-Rais Kikwete amekiri kuwa matokeo hayo ni mabaya kuliko matokeo mengine ya mtihani huo ya miaka ya hivi karibuni.
3 Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2012
-Rais Kikwete amewataka wananchi washiriki kikamilifu katika utoaji wa maoni kwa tume itakayoundwa kuchunguza ubovu wa matokeo hayo
No comments:
Post a Comment