
"Ninakwenda
mafunzo ya JKT kwa viongozi vijana. Nimeahirisha safari ya Africa
kusini na nitaziacha kazi za chama kwa muda huu. NAKWENDA MAFUNZO YA JKT
KWA AJILI YA NCHI YANGU. NIWAAGE KWA MUDA WAPENDWA MAANA SIJUI KAMA
MAKRUTA WANARUHUSIWA KUWA NA SIMU. Maandalizi ni kama unavyoniona.
Wenzetu walipigania UHURU wa nchi yetu, sisi tuulinde uhuru na kuijenga
nchi yetu."

No comments:
Post a Comment