Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 31, 2013

MH. ZITTO KABWE AKANUSHA KUHUSIKA NA ZITTO KABWE FOUNDATION. JIHADARINI NA MATAPELI.



Kupitia ukurasa wake wafacebook Mheshimiwa Zitto Kabwe amekanusha kuto husuika na mfuko wa Zitto Kabwe Foundation. ameandika:
"Narudia tena, sihusiki na mfuko wa mikopo unaotangazwa kupitia Mitandaoni. Sijaanzisha ZittoKabwe foundation. Siendeshi taasisi ya mikopo na wala sina biashara yeyote ile ndani au nje ya nchi. Hivyo puuzeni watu wanaotangaza mikopo kwa jina Langu. Nimejulisha vyombo vya dola suala hili ili kukamata matapeli wanaotumia jina Langu kuibia watu."

No comments:

Post a Comment