Bint
aliyejulikana Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana
hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho
mbele ya eneo la kanisa(Voda st)Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka
Nachingwea Resort(NR) ktk muziki cku ya ijumaa.Inasadikika marehemu
alilewa na wabakaji alitoka nao muziki.
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MOSHI AANZA RASMI MAJUKUMU.
-
Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mhe. John Mapato
Meela,(Chui) ameanza rasmi majukumu yake baada ya kuwasili ofisini kwa mara
ya kwanza t...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment