Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 25, 2013

WEMA SEPETU ATOA MILIONI 13 KUMTOA KAJALA ASIFUNGWE JELA



Wema Sepetu amekimbilia Benki baada ya mahakama kutoa hukumu mapema leo hii juu ya kesi ya Kajala na hukumu yake kutajwa kwenda jela miaka 5 au kulipa faini ya Milioni 13. Wema amejitolea kuamua kumsaidia Kajala ili aweze kutoka. 
 



msanii wa Bongo Movies Kajala Aliye kuwa anakabiliwa na kesi Amehukumiwa kifungo cha miaka 5 ama kulipa Faini ya shilingi milion 13 ...
Katika hukumu hiyo Kajala amehukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 13 na mumewe kwenda jela miaka saba au kulipa faini ya shilingi milioni 200.

Kajala alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada ya mumewe, Faraji Agustino kukumbwa na msala wa kutakatisha fedha haramu.

No comments:

Post a Comment