Ndg
zangu,Awali ya yote niwatakie Juma Pili Njema na Kwa Ndg zetu wanoenda
kanisani siku ya Leo waendelee kuombea Taifa letu na Viongozi wetu
kufanya maamuzi ya Busara juu ya Hatima ya Maisha ya Watanzania na Taifa
kwa Ujumla.
Nimeanza na maneno hiyo hapa juu kufatia matukio miwili,Moja ni Tukio la
Arusha na Pili ni Tukio la Maamuzi ya Baraza la Madiwani la wilaya ya
nzega.
Nzega
Halmashauri ya wilaya nzega imepitisha Bajeti na mipango ya Mendeleo ya
mwaka wa fedha 2013/4 kilichonisikitisha ni Madiwani kujitengea milioni
82 kwa ajili ya ziara Kwenda mkoa ya Arusha ,Dodoma Kama ziara ya
kujifunza,Wakati wilaya inakabiliwa na Changamoto za uharibifu aw miundo
mbinu kufatia muda Nyingi,makazi ya wananchi wengine yameharibika,shule
za msingi na secondaries hazina Madawati,waalimu hawana nyumba ,vituo
vya Afya having dawa za kutosha,tunakabiliwa na tatiizo la Maji Mijini
na vijijini.
Wakati Hali ikiwa hivi fedha hizo ni Intrest(RIBA) iliyotokana na fedha
zilizowekwa benki Baada ya mgodi kutulipa 2bn,Wabunge wakiwa wajumbe wa
kamati ya fedha wamepitisha hili,mbali hapo wameunda tume ya Watu 15
Kwenda Dar kukutana na Katibu mkuu aw Nishati kufatilia madai Kila
mjumbe atapewa posho ya siku 80,000 kwa siku 10 mbali na posho za
madereva kwani wataondoka na gari za halmashauri,mbali na mafuta,kuna
tume ya kufatilia mji mdogo nayo inawajumbe 10 imetengewa mamilioni ya
pesa.
Mbali na Hilo wakubwa wameamua kumchukua fedha 2bn kuanzisha Benki ya
Maendeleo ya Nzega ikiwa na dhamira ya kutoa mikopo kwa Wananchi aw
Nzega,wanafanya maamuzi haya huku wakifahamu Halmshauri ya wilaya ya
Nzega Ina Fedha za Mfuko aw Maendeleo ya Vijana ,Mfuko aw Maendeleo ya
Kina Mama ,Mabilioni ya Jk vyote hivi vimeshindwa kusimamiwa na Fedha
zake kwa Miaka yote hazijawahi kuwa na Mrejesho chanya Leo tena
wanatenga fedha ili kuanzisha Benki itakayoendeshwa na Watu wale
wale,kwa Mfumo ule ule,kuwakopesha Watu wale wale ambao Mara zote
wanaposhindwa kurejesha hutumika sasa zile zile kuwasamehe.
Huu
ni mchezo kwenye maisha ya wananchi aw wilaya ya nzega ambao hawana
High school ,hawana barabara za uhakika,waalimu hawana makazi,wanafunzi
hawana maabara,hawana Madawati,zahanati hazina Madawa,mikopo ya
Mabilioni ya Jk haikufanikiwa,mikopo ya Mfuko aw Maendeleo wa Vijana
haikufanikiwa,mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Kina mama haikufanikiwa
Leo zinatengwa fedha za kuanzisha Benki ya kukopesha wana nzega,kuna
Mabenki mawili nzega,kuna taasisi za mikopo zaidi 5 kwa matatizo
yanayokabili wilaya lie huu ni Kupoteza fedha za wananchi wa nzg kwa
posho na kuandaa maradi ambayo haina Tija.
TUKIO LA ARUSHA.
Tukio la kuuwawa Kijana aw Chou cha uhasibu na matokeo Yake badala ya
kutafuta wauwaji kunatengenezwa mazingira ya kuleta Instabillity kwa
kumkamata LEMA, Kaka yangu Mulongo katika hili alivolisimamia na
kulitekeleza ameonyesha Udhaifu aw Hali ya Juu na matokeo Yake inavunjia
heshima Serekali ya Chama chetu na Kuongeza chuki dhidi ya CCM Hakukua
na sababu ya Kubahave the way he did pale chuoni,alionyesha kiburi hakua
humble,hakutumia Busara katika jambo hili.
Wakati
kuna Kijana ameuwawa,na yeye ndie Rais wa eneo lile attitude alionyesha
Hakukua na leadership pale,tunakabiliwa na uchaguzi kuna mtu ameuwawa
na si Tukio la kwanza,Nguvu iliyotumika kumkamata lema Leo CCM mkoa aw
Arusha wanakabiliana na maswali mengi kuliko Majibu,inasikitisha
viongozi wanaotuwakilisha kuongoza ndio hao tunawaona Bungeni,ndio hao
Kina Mulongo na maamuzi na attitude ya kaka Mulongo,ndio hao Kama Baraza
la Madiwani aw Nzega ambao kwao semina safari,posho,maradi
isiyotekelezeka,kuunda tume ya kuchunguza madai ya wafanyakazi ni
kuitengea fungu Wakati kk Bajeti wameisha tenga fedha za kulipa madeni
halafu unaunda tume ya kuchunguza madeni ambayo umeisha lipa.
Ndg
zangu wana CCM chuki za Watanzania dhidi ya chama chetu zinaongezeka
Kila siku na hii ni kutokana na Tabia zetu wenyewe Wakati hospitalini
hakuna Vifaa vya Kina mama kujifungulia sisi tunajitengea fedha za ziara
82m,posho za 80,000 kwa siku,tunaanzisha miradi ambayo haitawasaidia
wananchi kk kero zao za Kila siku,Wakati mwanafunzi ameuwawa na kibaka
tunatumia mabomu,Rundo la Askari kumkamata mtu Moja kwakua si mwana
CCM,wananchi nyumba zimebomolewa na mvua,hakuna Bajeti ya kuwasaidia
hawa Watu,hakuna Madawati,dawa hospitali,tunaelekeza fedha ktk mambo
yasiyogusa maisha Yao.
Unless
tubadilike na kuanza kutambua Watanzania hawajatupa madaraka
ilituchezee maisha Yao,unless tutambue uongozi ni dhamana tutendelea
kuchukiwa na Leo sitashangaa Arusha tukipoteza kata 4
zilizowazi,tunawalazimisha Watanzania kutafuta matumaini kwa wapinzani
kwa sisi wenyewe kuamua kujipa Utawala badala ya Uongozi.Binafsi swala
la nzega nimekiandikia Barua chama changu wilayan kukiomba kutazama upya
maamuzi ya Full Council na kutambua upya vipaumbele halmashauri ya nzg
inakabiliwa na Changamoto Nyingi hawatakiwi kuchezea fedha za walipa
kodi.Hili la Arusha CCM inatakiwa kutolishabikia RC amemishandle the
whole thing.

No comments:
Post a Comment