Mjukuu wake aitwaye Omar ameiambia Bongo5 kwa simu muda mfupi uliopita kuwa Bi. Kidude alikuwa amelazwa kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya sukari na uvimbe kwenye kongosho.
“Kwa ufupi alilazwa kipindi kirefu na baadaye akatolewa, lakini baadaye akaja kuendelea kuumwa tena tukampeleka hospitali tukawa tunampeleka kwenda na kurudi hapa juzi akaanza kuzidiwa tena tukampeleka hospitali moja inaitwa Keeni (???) Kwaajili ya matibabu zaidi na drip na vitu vingine lakini baadaye baada ya siku ya tatu mwenyezi Mungu akachukua roho yake,” amesema Omar.
Bandari ya Fumba yapigiwa debe kuwa kitovu cha biashara za kikanda
-
Na Mwandishi Wetu.
Zanzibar. Equity Group, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji
Zanzibar (ZIPA), imeongoza ujumbe wa viongozi na wadau kutoka ...
1 day ago

No comments:
Post a Comment