Majambazi
yamempiga risasi mfanyabiashara wa Kihindi na kumuua papo hapo na
kumpora shilingi milioni 100 eneo la Salender Bridge, Upanga Dar es
Salaam leo jioni .
Kwa mujibu wa
walioshuhudia sakata hilo, wanasema mtoto wa kike wa marehemu pia
alipigwa risasi ya paja, lakini akafanikiwa kuendesha gari lao huku
akiwa na mwili wa marehemu babake hadi Hospitali ya Regency...endelea
kupitia mtandao huu kwa habari zaidi..
Hivi sasa msichana huyo shupavu, anaendelea na matibabu katika hospitali hiyo...
Habari zaidi tutaendelea kuwaletea kadri tutakavyokuwa tunazipata..
SOURCE AUDIFACE JACKSON BLOG
No comments:
Post a Comment