Kijana ROBERT STEPHENE OKELLO
mwenye asili ya Luo ameingia matatani mara baada ya kuamua kuchoma
kitambulisho chake cha Utaifa mara baaada ya mahakama kutengua Pingamizi
la Mgombea kupitia Tiketi ya ODM bwana RAILA ODINGA kupinga Uchaguzi
huo.
Kijana huyo aliamua kufanya
hivyo kutokana na kile alichokiita kuwa ni Uonevu wa kisiasa na hivyo
kupelekea kukichoma kitambulisho hicho ambacho kikatiba ni mali ya
Jamhuri ya watu wa Kenya.
No comments:
Post a Comment