MWANAFUNZI AJULIKANAYE KWA JINA LA HENRY KOVA AMECHOMWA KISU ALIPO KUWA
AKIPITA MAENEO YA SDA ,KWA MUJIBU WA CLASSMATE WAKE DAVID MAWOLE AMEONGEA NA MTANDAO HUU NA KUELEZEA KWAMBA MWENZAO ALICHOMWA KISU CHA SHINGONI NA VIBAKA HAO WAKATI AKIPITA ENEO HILO AKITOKEA NJIRO COMPLEX NA PIA WALISEMA ALIKUWA NA SIMU NA LAPTOP NA BAADHI YA VITU,TUNAENDELEA KUFUATILIA NA KUPATA TAARIFA ZAIDI,
RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI DODOMA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma ...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment