Mshambuliaji
wa Taifa Stars Mbwana Samatta amefunga bao wakati klabu yake ya TP
Mazembe ikiibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Mochudi Centre Chiefs ya
Botswana katika Klabu Bingwa Afrika. Samatta ambaye ameendelea kuonyesha
kiwango kizuri katika
ngazi ya klabu na pia timu ya Taifa alifunga pia bao pekee katika
mchezo wa kwanza uliofanyika nchini Botswana. TP Mazembe sasa itakutana
na Orlando Pirates ya Afrika ya kusini katika awamu ya 16 na bora.
TAIFA GAS YAWAGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WAFANYABIASHARA WA SAMAKI DAR,
KUUNGA MKONO AJENDA YA RAIS SAMIA YA NISHATI SALAMA
-
Mmoja wa maafisa wa kampuni ya Taifa gas akigawa mtungi wa gesi kwa mmoja
ya wafanyabiashara wa Samaki katika soko la ferry
*
#Yawagawia mitungi ya gesi...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment