Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa
mgeni rasmi wakati wa utoaji Tuzo za EJAT katika ukumbi wa Diamond
Jubiilee.
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akizungumza katika hafla hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Brass Band ya JKT iktoa burudani katika hafla hiyo.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga kutoka Kampuni ya Free Media, wachapishaji
wa Magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, kabla ya kukabidhiwa tuzo
yake.
Baadhi ya washiriki walioingia katika dfainali za tuzo hizo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio
akimkabidhi tuzo ya Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga kutojka Kampuni
ya Free Media inayochapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari.
SDEnga amepata tuzo hiyo baada picha aliyopiga ikimuonesha askarti
Polisi akimsurubu Mwandishi wa Habari, Marehemu Daudi Mwangosi wa Kituo
cha Televisheni cha Chanel Ten.
Hongera, ulistahili
Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi mfano
wa hundi mshindi wa jumla wa tuzo za EJAT 2012, Lucas Liganga.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi mfano wa hundi mwandishi mkongwe aliyepata mafanikio.
Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga akiwa na tuzio yake.
Mwandishi mkongwe Hamza Kasongo akiwa na mmoja wa majaji wa tuzo hizo, Mwanzo Milinga
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga (kulia) akiwa na mpiga picha wa magazeti
ya Uhuru na Mazalendo, Emmanuel Ndege ambaye aliingia katika fainali za
kinyang'anyilo cha kumtafuta mpiga picha bora.
Mwandishi wa Habari wa Mwananchi Communications, Anthony Mayunga akipokea tuzo yake.
Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi tuzo ya mwandishi bora wa habari za watoto, Shadrack Sagati kutoka TSN.
Credits: Habari Mseto
No comments:
Post a Comment