Ngoma hiyo inayojulikana kama
LOVE ME ilichezwa kwa mara ya kwanza katika disco hilo huku akisindikizwa na wasanii wenzake kama
SHAA na
BARNABA ambao wameshirikishwa humo ndani ...
IZZO BIZNESS akimvalisha mrembo aliemchagua zawadi ya miwani ambayo aliingia nayo on stage kupiga show ...
Mbeya City was in the building ...
QUICK ROCKA na
IZZO katika
BALL PLAYER on the performance ...
IZZO BIZNESS na
BARNABA wakikinukisha kwa fans ...
SHAA doing her thang ...

IZZO BIZNESS akiwa na fans baada ya show ... Kulia ni mwanadada
WEMA SEPETU ...
No comments:
Post a Comment