Yule
mkali kutoka TANZANIA HOUSE OF TALENT (TH) Mkali wa hit single ya AM
SORRY ELIAS BARNABAS A.K.A BARNABA hivi karibuni alikuwa nchini kenya
kwa ajili ya kusign mkataba mnono na bank ya barclays na kutengeneza
nyimbo maalum ambayo itakuwa kama nyimbo ya kuamasisha wananchi wa
kitanzania afya za wakina mama na wajawazito na afya zao, BARNABA NA
KIDUMU ndio mabalozi wa huo mradi, Wameshaingia studio na kidumu kwa
ajili yakupata sound tofauti na test tofauti. na baada ya hapo mradi huo
na wimbo huo utazinduliwa mapematarehe 8mwenzi ujao.
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AFUNGUA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA MAPITIO YA SEKTA
YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025 amefungua
rasmi Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Usafirishaji
unaofanyi...
27 minutes ago

No comments:
Post a Comment