Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 8, 2013

BREAKING NEWS: Lwakatare afutiwa mashtaka ya ugaidi



Habari tulizozipokea hivi punde ni kwamba, mahakama Kuu imemfutia Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA),Wilfred Lwakatare(Pichani juu), mashtaka yote ya ugaidi, na imerudisha shtaka moja la utekaji(kidnapping) Mahakama ya Kisutu na pamoja nasuala la dhamana.

chanzo mdimu blog 

No comments:

Post a Comment