Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 23, 2013

BEHIND THE SCENE: PHOTOSHOOT YA COVER YA SHOW YA MUZIKI GANI......!!


Napenda kumshukuru kwa siku ya jana.....Nilikuwa busy
 sana na Photoshoot
ya cover photo ya show ya tarehe 26.5.2013 Ndani ya maisha
 Club...Tukiendeleza Battle ya
Muziki Gani Tupate Mshindi.....Kufanya kitu cha kipekee z
aidi me n my Bro Nay wa Mitego tukabidi tuandae
Photoshoot kuwaletea Kitu kizuri machoni mwenu nyie walengwa.......
Inahitaji akili nyingi na upeo mwingi kufika malengo uyatakayo,
kama Picha Hii inavyoonesha....

ZIFUATAZO NI PICHA BEHIND CAMERA KUANZIA
 HOME MPAKA KWENYE PHOTOSHOOT
MAENEO YA MWENGE........SIKU YA JUMATATU.....
Diamond akiwa on Phone ''Nay umejipanga wewe...
Najianda nakuja kujkukalisha kuanzia mavazi
hadi jumapili stejini.....usikimbie tu.....


Umejianda kamili Mwanangu.....??? Fanya uwahi usijechelewa...."
Mama Naseeb akinisimamia kwa umakini
zaidi.....










SI NDIO MZIGO UKAKAMILIKA SASA.......

No comments:

Post a Comment