BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) IMELITANGAZA ONESHO LAKE LAKE JIPYA LA UTALII LIJULIKANAO KAMA (SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE), KWA WADAU WA UTALII KATIKA MAONESHO YA INDABA YANAYOTARAJIWA KUMALIZIKA KESHO NCHINI AFRIKA KUSINI . KATIKA TUKIO HILO JUMLA YA WASHIRIKI ZAIDI YA 150 WALIHUDHURIA, WAKIWEMO, TOUR OPERATORS, HOTELS, TRAVEL AGENTS, WAANDISHI WA HABARI, BLOGGERS NA WASHIRIKI WENGINE. ONESHO LA (SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE) LINATARAJIWA KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY OKTOBA 2-5 MWAKA HUU JIJINI DAR ES SALAAM.BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WA UTALII WAKIWA KATIKA HAFLA WAKATI BODI YA UTALII IKITANGAZA ONESHO JIPYA LA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE)
SOUWASA YABORESHA HUDUMA YA MAJI SONGEA
-
Mwenyekiti wa mtaa wa Namanyigu kata ya Mshangano manispaa ya Songea
Abdulkadri Myao, amesema Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Songea
SOUWASA,...
51 minutes ago
No comments:
Post a Comment