Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 23, 2013

BREAKING NEWS: MAJAMBAZI YAVAMIA GARI NA KUPORA MAMILIONI DAR



majamabazi yaliyokuwa na silaha aina ya smg yakiwa na pikipiki aina ya bajaj  muda huu yamevamia gari ndogo aina ya Vitz  na kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya kihindi waliokuwa ndani yake na kuwapora furushi la fedha.Tukio hilo limetokea eneo la sayansi-kijitonyama jijini dar.
source global publisher

No comments:

Post a Comment