Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, May 14, 2013

BREAKING NEWS: WANAFUNZI WA SHULE YA SECONDARI MANZESE ZAIDI YA 30 MUDA HUU WANAANGUKA HOVYO HOVYO

 Wanafunzi wa shule ya secondari manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo hovyo na kusema a mane no yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka.

Picha:Zainab Chondo wa ITV

No comments:

Post a Comment