Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akizungunza
na waandishi wa habari, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu
ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia masuala mbalimbali yaliyojiri kwenye
kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichomalizika jana. (Picha na Bashir
Nkoromo)Katibu

Nkoromo)
WANA CCM YAPO YA KUJIFUNZA KWA ABDULRAHMAN KINANA
-
Na Said Mwishehe
NGOJA nikwambie kitu mtu wangu ingawa najua itakuwa unafahamu kwamba Chama
Cha Mapinduzi(CCM) Januari 18 hadi 19 mwaka huu wa 2025 kina...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment