Kamanda
wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akiwaonyesha wandishi wa Habari
Mabomba ya plastik Inayotumika kama Mitambo ya kutengenezea Pombe Haramu
Aina ya Gongo Mara Baada ya kuikamata wilayani Kongwa jana.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime Akifungua Moja ya Madumu
yaliyokamatwa na Pombe Haramu ya Gongo yaliyokamatwa Wilayani Kongwa
huku watu wanne wakishikiliwa na jeshi hil;o.
Haya ndio mabomba ya kutengenezea pombe haramu [PICHA NA JOHN BANDA]
Chanzo:Pamojapure Blog
No comments:
Post a Comment