Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, May 13, 2013

DR. SHEIN AKUTANA NA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR

IMG_0505Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia
viongozi wa Chama alipowasili uwanja wa Ofisi ya CCM KIsiwandui Mjini
Unguja kukiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa
kilichofanyika leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0517Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati
Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa,wakipitia agenda mbali mbali za
kikao hicho kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, katika  ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0522Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati
Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa,wakipitia agenda mbali mbali za
kikao hicho kinachoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, katika  ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0529Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif
Ali Iddi,(kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa CCM Kisiwandui katika kikao
cha siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya Taifa
kilichofanyika leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0537Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya CCM
Taifa,katika ukumbi wa CCM KIsiwandui leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM
Taifa,Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) .[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment