Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 10, 2013

INASIKITISHA::POLISI WAUA TARIME MTOTO WA MIAKA 9 KWA RISASI TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ITAKAYOONEKANA.


Haya ndiyo yaliyofanyika Tarime leo mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya kashuhudie mwenyewe uone then comment! hATA HIVYO UNAOWAONA NI WANANCHI WALIOCHOKA WAKIANADAMANA HUKU WAMEBEBA KWENYE MACHELA MWILI WA MAREHE dEO yKOB MWNAFUNZI WA DARASA LA TATU KATIKA SHULE YA MSINGI MTURU MJINI HAPA! Nimelishuhudia hili.source http://jamiiinformation.blogspot.com
 

1 comment:

  1. DEM POLICE MUST BE FROM KENYA ORIGINALY, BASTARDS ASOOS MADAFAKAZ CUNTS.....

    ReplyDelete