Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 15, 2013

JESHI LA POLISI RUVUMA LAKAMATA MENO YA TEMBO KILO 18 YENYE THAMANI YA DOLA 30,000.

ASKARI wa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma mwenye Begi akiwa amekamata pembe za Ndovu kwa Buruhani Mtini (48) ambaye alikuwa anasafirisha pembe hizo kutoka Wilayani Namtumbo kupeleka Songea.
Meno ya Tembo ambayo yalikuwa kwenye Begi vipande 16 vyenye uzito wa kilo 18 vyenye thamani ya Fedha za Kimarekani US Dola 30,000. 

No comments:

Post a Comment