Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, May 13, 2013

MFANYABIASHARA ALIYEFUMANIWA NA MWANAFUNZI GESTI APIGWA FAINI YA 640,000



YULE mfanyabiashara  wa jijini Dar ambaye hivi karibuni alifumaniwa gesti akiwa na mwanafunzi wa kidato cha pili, huenda akapandishwa kizimbani siku yoyote.....
Kwa mujibu wa dada wa mwanafunzi huyo ambaye aliomba jina lake lisiandikwe , baada ya mfanyabiashara huyo kufumaniwa na binti huyo mwenye umri wa miaka 16, aliahidi kutoa fedha za Kimarekani dola 400 (zaidi ya Sh. 640,000) kama faini kwa kitendo hicho.
Hata hivyo, pamoja na kukubali kutoa kiasi hicho, mfanyabishara huyo hakutimiza ahadi yake na kuamua kuingia mitini. 
Dada wa mwanafunzi huyo amedai  kuwa   mfanyabiashara huyo anasakwa ili wamburuze mahakamani kutokana na mwisho wa mwezi uliopita kushindwa kutimiza ahadi yake

No comments:

Post a Comment