Hakimu
anayesikiliza Kesi ya Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh.
Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa
dhamana kwa Lwakatare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 Mei
Hata hivyo, Mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana yake japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.
KIONGOZI WA MWENGE AMPONGEZA CHUSA UJENZI WA WODI
-
Na Mwandishi wetu, Mirerani
MWENGE wa uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye wodi ya wanawake na watoto
katika kituo cha afya Mirerani Wilayani Simanjiro M...
14 hours ago


No comments:
Post a Comment