HAPA KIJANA HUYO AKIWA AMEWEKWA CHINI
DAMU ZIKIMTOKA USONI
KIJANA MMOJA AMENUSURIKA KUFA BAADA YA KUKAMATWA AKIIBA POWER WINDO ZA GARI AINA YA XTRAIL MAENEO YA MAKUMBUSHO,WAKIONGENA NA MTANDAO HUU WA dj-sek.blogspot.com WALISEMA KWAMBA KIJANA HUYO ALIKUWA NA MWENZIE AMBAYE ALIFANIKIWA KUKIMBIA NA YEYE KUDAKWA NA NDIPO WALIPOANZA KUMPIGA NA MWISHOWE KWENDA NAYE KITUO CHA POLISI.MATUKIO KAMA HAYA YAMEKUWA YAKITOKEA MARA KWA MARA ENEO LA MAKUMBUSHO KUTOKANA NA KUWA NA UHABA WA PARKING ZA MAGARI ENEO HILO.
Mfalme wa Morocco Aandaa Dhifa ya Chakula cha Jioni kwa Heshima ya Rais wa
Ufaransa Macron na Mkewe
-
MFALME Mohammed VI wa Morocco, akiwa ameandamana na familia ya kifalme
ikiwemo Mrithi wa Kiti cha Ufalme Moulay El Hassan, Prince Moulay Rachid,
na Malkia...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment