Michael Wambura
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba
wagombea wawili, Jamal Malinzi na Michael Wambura wamerudishwa kuwania
nafasi walizokuwa wakipigania kuzipata katika uchaguzi mkuu wa
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Taarifa
kutoka ndani ya TFF zimeeleza, Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa)
limeandika barua ambayo imeshatua Fifa tayari kuwarejesha Malinzi,
Wambura na wengine waliokuwa wanagombea.
Uongozi wa TFF unatarajia kuzungumza nusu saa ijayo kuanzia sasa katika ofisi zake katika eneo la Ilala jijini Dar es Salaam.
Taarifa
kutoka ndani ya TFF zimeeleza, Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa)
limeandika barua ambayo imeshatua TFF tayari kuwarejesha Malinzi,
Wambura na wengine waliokuwa wanagombea.
.
No comments:
Post a Comment