



Msanii anayetamba na kibao cha Tupogo alichowashirikisha AY, Mwana FA na J.Martins wa Nigeria, leo hii ametoa mchango ameungana na Flaviana Matata Foundation (FMF) kutoa msaada katika shule ya Msingi Minazini iliyopo Mwananyamala wilaya ya Kinondoni Dar-Es-Salaam, Msanii huyo alitoa kiasi cha shilingi Elfu Kumi karibia kwa kila Mwanafunzi katika shule hio, Tazama Picha za msanii huyo akitoa msaada wa hela kwa wanafunzi hao hapa



ni aina ya matumiz tu
ReplyDelete