Raisi wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akikutana na madaktari wa kichina ambao waliwahi kufanya kazi za kitabibu Tanzania. Dr Shein ambaye yupo china kwa ziara ya kikazi alikutana na madaktari hao kwenye mji wa Nanjing uliopo kwenye jimbo la Jiangsu. Picha zaidi zitawajia punde
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment