New safari Hotel kipindi hiyo ya mkoloni...Miaka ya 90s hapa
palikuwa na Disco linaitwa Cave tumeruka sana kopo hapa na kina Dj Mackop Dj
Super ...dah ilikuwa siku za furaha sana siku zile..Picha na JCB
WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAASWA KUZINGATIA MADILI
-
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
Wataalamu wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya
taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ili ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment