KIKAO
CHA BODI YA CHUO KIMEKAA LEO NA BODI IMETOA MAAGIZO YA AWALI KWA
UTAWALA WA CHUO AMBAYO YATATANGAZWA KWA KUPITIA WEBSITE HII,, WEBSITE
YA CHUO ,WEBSITE YA SERIKALI YA WANAFUNZI NA MAGAZETI ,PITIENI MITANDAO
HII MARA KWA MARA ILI UWEZE KUPATA TAARIFA YA UHAKIKA NA MAPEMA
ZAIDI,MTAARIFU MWENZIO PINDI UPATAPO TAARIFA HII
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA
DODOMA 2025
-
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akisaini kitabu cha wageni
baada ya kuwasili kwenye banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati
ya Maa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment