Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 23, 2013

TAARIFA YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU VURUGU ZA MTWARA



Imesomwa na Nchimbi badala ya PM,
Chanzo kikuu cha vurugu ni kupinga gesi kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Dar. Vurugu zilianza kwa kusambazwa vipeperushi vya kuhamasishana kufanya vurugu
Athari
Nyumba ya Mbunge imechomwa, ofisi za CCM kata, Nyumba na ofisi mbalimbali
watu 91 wamekatwa, hali hiyo imedhibitiwa jeshi la ulinzi limeenda kwa ombi la RC ambapo wakiwa njiani kuelekea huko askari 4 wamefariki kwa ajali ya gari
Nawapongeza askari waliofanya kazi katika mazingira magumu kurudisha hali ya amani

No comments:

Post a Comment