Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, June 30, 2013

ANGALIA PICHA ZA DENTI WA KIKE APEWA KICHAPO BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA GEST HOUSE NA MPENZI WAKE


Wazazi wenye  uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi.Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.
Hata hivyo mfumaniwa mwenzake  ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia.

Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.
(Picha zote na maelezo yameletwa na Dei Misana- Wavuti.com)

No comments:

Post a Comment