Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 28, 2013

GARI LA KUBEBEA MAFUTA LAANGUKA KIBAHA, WATU "KAMA KAWAIDA" NA VIDUMU VYAO BILA UOGA WAKITAKA KUCHOTA MAFUTA.


2093648 orig 8c4d3
7076096 orig aa465
Lori moja la kubebea  mafuta ya vyombo vya moto likiwa limeanguka eneo la Kongowe, Kibaha kama lilivyokutwa na mpiga picha jioni ya Jana. Wananchi wanaonekana wamelizungukaa   hawanahofu ya hatari inayoweza kutokea kama zilivyotokea nyingine siku zilizopita

No comments:

Post a Comment