Miss Dar Indian Ocean ambaye ni
Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, Diana Hussein (pichani) hivi karibuni
amejikuta akipata aibu baada ya picha yake ya utupu kuvuja, Amani
linayo kibindoni.

Baadhi ya marafiki wa mrembo huyo walisema kuwa wameshangaa kuiona picha hiyo kwani kwa wanavyomjua hawakutarajia.
Akiizungumzia picha hiyo, Diana alisema aliipiga kwa matumizi yake binafsi ila akashangaa kuona imesambaa mtandaoni.
Wakati Diana akiteswa na skendo
hiyo, Miss Rukwa namba 3 mwaka jana, Vency Edward naye amefuata mkumbo
baada ya picha zake za utupu kunaswa.
No comments:
Post a Comment