Mshindi
wa taji la Redds Miss Kanda ya Kati Happiness Watimanywa (Katikati)
akiwa na nyuso ya furaha mara baada ya kamati ya majaji kumtangaza
mshindi katika kinyanganyiro kilichoshirikisha walimbwendwe 12 kutoka
Mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma Wa Kwa Kwanza kulia Ni
Mshindi wa Tatu Jackline huku Mshindi wa Pili ni ( Wa kwanza Kushoto)
Sabrina Juma Kutoka Mkoani Tabora
Jaji
Mkuu wa Shindano ya Kumsaka Mloimbwende wa Kanda ya Kati Mh Hashim
Lundenga Akipungia mikono watanzania waliofika kushuhudia mlimbwende wa
Kanda ya kati anapatikana
Mshiriki wa Kinyanganyiro Cha Redds Miss Kanda ya Kati Hawa Nyange akijitambulisha
Mmoja wa Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya kati akijitambulisha mbele ya hadhara
Muda wa Kuonyesha Vipaji ukawadia
Mavazi ya Ubunifu
Walimbwende walioingia hatua Ya Tano Bora
Wadau wa Miss Tabora wakifuatilia shindano kwa ukaribu kabisa
Mratibu
na mwandaaji wa Redds Miss Kanda ya Kati akitoa Maneno huku pembeni
yake ni Mgeni Rasmi (katikati) Mh John Komba akiwa na baadhi ya wabunge
wenzake kutoka Zanzibar
Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya Amin akicheza na mmoja wa mashabiki wake
ambaye alikua akiigiza kama Linah jana wakati wa shindano la kumtafuta
Redds Miss Kanda ya Kati
Mmoja
wa mashabiki wakimtunza Mwanamziki wa Kizazi kipya Amin wakati
alipokuwa akitoa Burudani Jana katika Kinyanganyiro Cha Kumtafuta
Mlimbwende wa Kanda ya Kati
Baadhi
ya wadau waliojitokeza kwenye kushuhudia Shindano la Redds Miss Kanda
ya Kati lililofanyika Usiku wa Kuamkia Leo Katika Ukumbi wa Kilimani
Mkoani Dodoma.Picha Na Josephat Lukaza Wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment