Jokate
aongea baada ya Diamond kukiri kuwa anajuta kumkosea na kuuvunja moyo
wake.Akiongea jinsi alivyomuumiza Jokate,Diamond alisema 'Kwasababu
alikuwa too innocent halafu hakuwahi kunikosea kitu chochote Jokate
kabisa,halafu nikamwingiza kwenye matatizo,watu wakamchukulia tofauti
kwamba 'Jokate kumchukua wema Boyfriend wake' wakati nilimfuata mimi
kama mimi, nilimtafuta mwenyewe halafu then nikawa niko naye halafu
ghafla nikarudisha mahusiano kwa wema.Sikujisikia vibaya halafu still
haikuwa vizuri sometimes nikikaaga hivi nasema nilimkosea.Kwa
upande wa Jokate anasema, Watu wengi hawajui the real issue,I'm grad
kama ame acknowledge I was innocent in that whole matter.
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NA TPSF ZAFANYA KIKAO CHA MAJADILIANO
-
*Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imekutana na kufanya
mazungumzo na Uongozi wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Januari 22,2...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment