Kijana mmoja aliyefahamika wa kwa jina la
Kobero, leo asubuhi amekutwa akiwa amekufa kwenye chumba kimoja cha
nyumba ambayo ilikuwa haijamalizika kujengwa maeneo ya Kigogo Luhanga
jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, marehemu
alikutwa na chupa iliyokuwa na masalia ya pombe haramu aina ya gongo.
Mpaka paparazi wetu anaondoka eneo la tukio askari polisi walikuwa bado
hawajafika kwa ajili ya kuuchukua mwili na kuanza upelelezi wa tukio
hilo.
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
11 hours ago




No comments:
Post a Comment