Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mblele ya jeneza lenye mwili wa
aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, marehemu, Timoth Apiyo,
aliyefariki dunia nchini Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa kutokana
na kusumbuliwa
na maradhi. Shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu imefanyika leo
Juni 15, 2013 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, na baadaye mwili ulisafirishwa kuelekea Mkoani Mara kwa maziko. Picha na OMR
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment