Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03,
2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa RaisMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Makamu wa Kwanza wa Rais
wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya uzinduzi rasmi wa
rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.Picha na Ofisi ya Makamu wa RaisMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Makamu Mwenyekiti wa
Jukwaa la Wahariri, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika
leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.Picha na Ofisi ya Makamu wa RaisMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Naibu Katibu Mkuu Mstaafu
wa Umoja wa Mataifa, Asha-rose Migiro, baada ya uzinduzi rasmi wa
rasimu hiyo uliofanyika leo Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. Kushoto kwa Makamu, ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.Picha na Ofisi ya Makamu wa RaisMwanasheria
Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) na Naibu Waziri wa
Katiba na Sheria, Angela Kairuki, wakiperuzi kitabu cha Katiba
mpya, baada ya kuzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo kwenye Viwanja wa Karimjee, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Spika wa Bunge la Tanzania Dokta Tulia Akson awakilishwa vyema Mbio za
Miaka 25 ya TAWJA dhidi ya ukatili wa kijinsia.
-
Na Jane Edward,Arusha
Spika wa bunge la Tanzania Dokta Tulia Akson amekipongeza chama cha majaji
na mahakimu wanawake Tanzania (TAWJA)kwa kuanzisha vilab...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment