Mwisho Mwampamba
mshiriki wa Big Brother ya kwanza kabisa baada ya kimya kingi chakuweka
makazi pande za Namibia yeye na familia yake, sasa hivi amerudi nyumbani
na amekuja kikazi zaidi na kuamua kufungua duka la toy za watoto lenye
kila kitu ambavyo mtoto atachezea. Duka hili lipo maeneo ya Sinza
Palestina linatizamana na msikiti mkuu.
MIXX, TCDC ZAENDELEZA MAKUBALIANO YA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIFEDHA KWA
WAKULIMA
-
-Makubaliano yanalenga kuongeza uwazi, ufanisi na upatikanaji wa huduma za
kifedha kwa vyama vya ushirika kupitia teknolojia.
Dodoma, Julai 5, 2026 – Mami...
4 hours ago




No comments:
Post a Comment