Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 26, 2013

PONGEZI KWA SERIKALI YA ZANZIBAR:HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA BANDARI YA ZANZIBAR

Hii ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa
umakini picha hizi kwa ghafla
unaweza usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya muonekano wa
juu utagundua ndio kisiwani zanzibar...
Maendeleo yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa sana
 ukilinganisha na Bandari ya zamani
ilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa ni kitu kingine,ukifika
bandarini hapo unaweza ukasahau
kama upo kisiwani hapo...!

Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani zanzibar na ni
mfano wa kuigwa kokote pale kwa
hatua waliyopiga....
Zifuatazo Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya kisiwani zanzibar....!!
Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio aliedhamini
mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!!
PONGEZI KUBWA KWA ZANZIBAR



Muonekano kwa usiku kwenye geti la kutokea bandarini hapo...!!


Sehemu ya ndani kwenye mapokezi....!!










No comments:

Post a Comment