skip to main |
skip to sidebar
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU MLIPUKO WA BOMU ARUSHA HII HAPA ISOME
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini, ametoa taarifa kwa vyombo vya
habari, kisha amejibu maswali kadhaa, vitu vya msingi kwa sasa ni kuwa
Taarifa Muhimu zitatolewa na Jeshi kwa wakati muafaka tena kwa usahihi,
ila kwa leo amesema hadi sasa hakuna mtu anayeshikiliwa na jeshi
kutokana na tuhuma za tukio hilo ingawa Ushirikiano umepatikana wa
kutosha kutambua wajihi wa anayesadikiwa ndiye mtuhumiwa, lakini pili,
Jeshi la Polisi litaifanyia kazi kauli ya Kiongozi mmoja wa Chama cha
siasa aliyesema watu wasipochagua chama chao watakufa, watakufa kabisa
No comments:
Post a Comment