Haya ndiyo
mazingira ya hoteli waliyofikia Ivory Coast jijini dare s Salaam.
Hoteli ya Ledger
Plaza iliyo eneo la Bahari Beach jijini Dar, utulivu unavyoonekana na ulinzi
ulikuwa mkali.
Hapa ni saa
chache kabla ya mechi ya leo na saa sita kamili ndiyo muda wao wa kuondoka
kwenda Uwanja wa Taifa tayari kwa mchezo wao kuiva Taifa Stars ambayo pia
imepania kushinda.
No comments:
Post a Comment