Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 25, 2013

TAZAMA PICHA ZA HARUSI YA WASIWASI MWABULAMBO MTANGAZAJI WA JAHAZI LA CLOUDS FM


Harusi ya Wasiwasi Mwabulambo na Janeth ilifungwa kwenye Kanisa La Kilutheri Boko Dar Es Salaam Na Baadae kwenye tafrija iliyofanyika Mbezi Beach siku ya Jumamosi 22/6/2013. Mtandao huu unakutakia maisha mema ya ndoa na Mungu awaongeze katika kila jambo..Amen.

No comments:

Post a Comment