Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, June 28, 2013

TAZAMA PICHA ZA LISTENING SESSION YA “BMS” YA RAPPER GOSBY

Rapper chini ya Label ya B’Hitz Music Group, Gosby usiku wa jana alikuwa na listening session ya ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuiachia siku ya kesho.
Kwenye usiku huo, Gosby alialika wadada watatu ambao ndio watakua wa kwanza kuusikia wimbo wake huo unaokwenda kwa jina la “Baby Making Swagg” au BMS.
At the listening party, kulikuwepo na baadhi ya wasanii ambao pia wapo chini ya Label hiyo ya B’Hitz,alikuwepo Deddy, M-Rap Lion pamoja na Producer Pancho La Tino.
Check some photos …
1010649_10151670841735829_605488869_n
179713_10151670841780829_2121471382_n
994273_10151670842690829_1756684630_n
5865_10151670842035829_405105863_n
1000177_10151670842250829_851855777_n
1011878_10151670842305829_232954671_n
1044992_10151670842155829_365151715_n
 HABARI KWA HISANI YA GONGAMX.COM

No comments:

Post a Comment