Gervais Yao 'Gervinho' (kushoto) akipiga kichwa mbele ya beki wa Stars, Shomari…
Nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja (kushoto) akisalimiana na Didier Zokora, nahodha wa Ivory Coast.
NDOTO za
timu ya Taifa ya Tanzania 'Tifa Stars' kucheza fainali za soka za Kombe
la Dunia 2014 nchini Brazil imepotea baada ya kulala kwa mabao 4-2
kutoka kwa Ivoary Coast leo. Stars imepoteza mchezo huo uliopigwa kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Stars yamewekwa kimiani
na Amri Kiemba pamoja na Thomas Ulimwengu.
No comments:
Post a Comment